Pre GE2025 Unafikiri nini kimewaondoa Makamba na Nape kwenye Uwaziri?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

1721596381116.png

Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!

Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

Wewe unafikiri nini kimewaondoa wawili hawa kwenye nafasi ya Uwaziri? Kwa nape ni kauli yake ya 'utani' kuhusu ushindi wa Box? Na kwa Makamba je? Byabato naye kaliwa kichwa, itakuwa Nape kamponza!

Au Mama alisoma pendekezo la Erythrocyte - Pendekezo: Nape Nnauye avuliwe Uwaziri haraka kwa kauli hii aliyoitoa jimbo la Bukoba Mjini:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

Nyie mnaonaje wakuu?
 
Unafikiri nini kimewaondoa wawili hawa kwenye nafasi ya Uwaziri? Kwa nape ni kauli yake ya 'utani' kuhusu ushindi wa Box? Na kwa Makamba je? Byabato naye kaliwa kichwa, kashfa ya kumkingia kifua rafiki yake imembeba na maji!

Nyie mnaonaje wakuu?
Mdomo
 
1. Hawana sifa
2. Wapigaji
3. Sio wachapa kazi
4. Wazee wa majungu
5. Wanamhujumu Boss wao.

Bado Mwigulu nchemba
Ila Mwigulu anaheshima sana kwa Boss wake hata nje ya kazi. Yani hata huko pembeni anamuheshimu Boss wake. Hili huwa linampaisha sana. Havuki mipaka na hana nia za kutia mashaka. Pia hana makundi kama wale wengine.
 
Wakuu,

Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!

Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

Wewe unafikiri nini kimewaondoa wawili hawa kwenye nafasi ya Uwaziri? Kwa nape ni kauli yake ya 'utani' kuhusu ushindi wa Box? Na kwa Makamba je? Byabato naye kaliwa kichwa, itakuwa Nape kamponza!

Au Mama alisoma pendekezo la Erythrocyte - Pendekezo: Nape Nnauye avuliwe Uwaziri haraka kwa kauli hii aliyoitoa jimbo la Bukoba Mjini:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

Nyie mnaonaje wakuu?
Watu mnaisahau sana ile ziara ya Jamhuri ya Korea ambayo kulikuwa na upotoshaji wa kugawa madini na eneo la bahari. Haikuishia kwa Zuhura tu, na bado.

Ova
 
Wakuu,

Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!

Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

Wewe unafikiri nini kimewaondoa wawili hawa kwenye nafasi ya Uwaziri? Kwa nape ni kauli yake ya 'utani' kuhusu ushindi wa Box? Na kwa Makamba je? Byabato naye kaliwa kichwa, itakuwa Nape kamponza!

Au Mama alisoma pendekezo la Erythrocyte - Pendekezo: Nape Nnauye avuliwe Uwaziri haraka kwa kauli hii aliyoitoa jimbo la Bukoba Mjini:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

Nyie mnaonaje wakuu?
Unadhani walikuwa hawajui what is going on?

Ccm hawakuijulia barabarani myfriend
 
Ila Mwigulu anaheshima sana kwa Boss wake hata nje ya kazi. Yani hata huko pembeni anamuheshimu Boss wake. Hili huwa linampaisha sana. Havuki mipaka na hana nia za kutia mashaka. Pia hana makundi kama wale wengine.
Basi ungejua kama huyo ni mnafiku Wala usingesema haya... Labda apendwe kwa sifa hiyo!
 
Wakuu,

Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!

Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

Wewe unafikiri nini kimewaondoa wawili hawa kwenye nafasi ya Uwaziri? Kwa nape ni kauli yake ya 'utani' kuhusu ushindi wa Box? Na kwa Makamba je? Byabato naye kaliwa kichwa, itakuwa Nape kamponza!

Au Mama alisoma pendekezo la Erythrocyte - Pendekezo: Nape Nnauye avuliwe Uwaziri haraka kwa kauli hii aliyoitoa jimbo la Bukoba Mjini:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

Nyie mnaonaje wakuu?
kuna kitu kibaya kimefanywa na makamba,na manaibu wake,maana naibu wake mmoja jana alijiuzulu ubunge
 
Back
Top Bottom