Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Nimependa apo mwisho ulivyomalizia
 
Huo muda wa kuanza kuwafikiria wanawake wa jf ungefikiria mengine ya maana ingekusaidia Sana.
Huu mda nawe si ungetumia kujibu vitu vya maana tu mkuu
 
14. Most women in here JF are single mothers.
15. Most women in here JF are so desperate, stressed and depressed( wamekata tamaa, wenye msongo wa mawazo na wenye huzuni)
16. Most women in JF are loose-women( Hawajui kumkataa mwanaume)
 
14. Most women in here JF are single mothers.
15. Most women in here JF are so desperate, stressed and depressed( wamekata tamaa, wenye msongo wa mawazo na wenye huzuni)
16. Most women in JF are loose-women( Hawajui kumkataa mwanaume)
MUNGU awajalie apo walipo wavuke salama🙏
 
Mimi ni muumini mzuri wa law of attraction. Unapata kilichomo kwenye fikra, imani, falsafa na misimamo yako...na ulivyo wewe ni upande mmoja wa shilingi unaokamilishana na upande mwingine...

Kwa hivyo:

Unapata unachokitafuta na ambacho roho yako na fikra zako zimekuaminisha kuwa ndicho unachokihitaji na kustahili.

Ukitaka rafiki utapata rafiki...na huu ni msingi mzuri ambao juuye mambo mengine (mf. mapenzi) yanaweza kujengwa...na yakadumu...

Sasa wewe ni baharia na unatafuta mwenzio wa kuzini naye; tena bila msingi wo wote, ukiangukia kwa mdangaji kweli una haki ya kulalamika? Si umepata ulichokuwa unakitafuta?

Wapo mabinti hapa wenye sifa njema sana - wasomi, wanaojielewa, warembo, huru na marafiki wema mno. Inategemea tu na wewe unatafuta nini....na ukitafutacho kwa imani na roho ndicho ukipatacho...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mwanakulitafuta Mwanakulipata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…