Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Mmh hiv unaweza kumtambua MTU kupitia avatar ya uongo na kujimwambafai nyuma ya keyboard????
 
Kwenye urembo hapo umepotea sana [emoji38][emoji38]
 
Mimi ni muumini mzuri wa law of attraction. Unapata kilichomo kwenye fikra, imani, falsafa na misimamo yako...na ulivyo wewe ni upande mmoja wa shilingi unaokamilishana na upande mwingine...

Kwa hivyo:

Unapata unachokitafuta na ambacho roho yako na fikra zako zimekuaminisha kuwa ndicho unachokihitaji na kustahili.

Ukitaka rafiki utapata rafiki...na huu ni msingi mzuri ambao juuye mambo mengine (mf. mapenzi) yanaweza kujengwa...na yakadumu...

Sasa wewe ni baharia na unatafuta mwenzio wa kuzini naye; tena bila msingi wo wote, ukiangukia kwa mdangaji kweli una haki ya kulalamika? Si umepata ulichokuwa unakitafuta?

Wapo mabinti hapa wenye sifa njema sana - wasomi, wanaojielewa, warembo, huru na marafiki wema mno. Inategemea tu na wewe unatafuta nini....na ukitafutacho ndicho ukipatacho...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mwanakulitafuta Mwanakulipata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Apo mwisho sasa ulivyomalizia😂😂😂 anyway big up mkuu umenifanya walau nam nimepitia hiyo LAWS OF ATTRACTION. umeniongezea kitu. Thanks so much 🙏
 
14. Most women in here JF are single mothers.
15. Most women in here JF are so desperate, stressed and depressed( wamekata tamaa, wenye msongo wa mawazo na wenye huzuni)
16. Most women in JF are loose-women( Hawajui kumkataa mwanaume)
Itakuwa kweli mana wakiwa wanakomenti hoja miandiko yao inakuwa na stress hatar
 
Back
Top Bottom