Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Mimi ni muumini mzuri wa law of attraction. Unapata kilichomo kwenye fikra, imani, falsafa na misimamo yako...na ulivyo wewe ni upande mmoja wa shilingi unaokamilishana na upande mwingine...

Kwa hivyo:

Unapata unachokitafuta na ambacho roho yako na fikra zako zimekuaminisha kuwa ndicho unachokihitaji na kustahili.

Ukitaka rafiki utapata rafiki...na huu ni msingi mzuri ambao juuye mambo mengine (mf. mapenzi) yanaweza kujengwa...na yakadumu...

Sasa wewe ni baharia na unatafuta mwenzio wa kuzini naye; tena bila msingi wo wote, ukiangukia kwa mdangaji kweli una haki ya kulalamika? Si umepata ulichokuwa unakitafuta?

Wapo mabinti hapa wenye sifa njema sana - wasomi, wanaojielewa, warembo, huru na marafiki wema mno. Inategemea tu na wewe unatafuta nini....na ukitafutacho ndicho ukipatacho...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mwanakulitafuta Mwanakulipata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Napendaga maandiko yako, uko vizuri mkuu.
 
Expectations vs reality, nyie ndiyo mnaotukimbia njiani tukionana sababu unaexpect kukutana na malaika hivi kumbe ni binadamu mwenzio tu mwenye mapungufu yake.

Watu waliomo humu, ndiyo hao hao unaoshinda nao mitaani huko.
Amna bhana, kiukwel sipo serious kiasi hicho
 
OMG nimefurahi rafiki, dear law of attraction!, do something please[emoji12]

Usiku mwemaa.
Lala salama [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
tapatalk_1565206217455.jpg
 
Back
Top Bottom