Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakuja... Uandae maneno ya kumwambia[emoji16]
Napendaga maandiko yako, uko vizuri mkuu.Mimi ni muumini mzuri wa law of attraction. Unapata kilichomo kwenye fikra, imani, falsafa na misimamo yako...na ulivyo wewe ni upande mmoja wa shilingi unaokamilishana na upande mwingine...
Kwa hivyo:
Unapata unachokitafuta na ambacho roho yako na fikra zako zimekuaminisha kuwa ndicho unachokihitaji na kustahili.
Ukitaka rafiki utapata rafiki...na huu ni msingi mzuri ambao juuye mambo mengine (mf. mapenzi) yanaweza kujengwa...na yakadumu...
Sasa wewe ni baharia na unatafuta mwenzio wa kuzini naye; tena bila msingi wo wote, ukiangukia kwa mdangaji kweli una haki ya kulalamika? Si umepata ulichokuwa unakitafuta?
Wapo mabinti hapa wenye sifa njema sana - wasomi, wanaojielewa, warembo, huru na marafiki wema mno. Inategemea tu na wewe unatafuta nini....na ukitafutacho ndicho ukipatacho...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mwanakulitafuta Mwanakulipata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Amna bhana, kiukwel sipo serious kiasi hichoExpectations vs reality, nyie ndiyo mnaotukimbia njiani tukionana sababu unaexpect kukutana na malaika hivi kumbe ni binadamu mwenzio tu mwenye mapungufu yake.
Watu waliomo humu, ndiyo hao hao unaoshinda nao mitaani huko.
Don't take it serious too, sikuwa serious saanaAmna bhana, kiukwel sipo serious kiasi hicho
Umewainua Sana mkuu😁😁😁
Asante sana financial services. It means a lot coming from you. Hata wewe nakukubali sana. Tuombe siku moja law of attraction itukutanishe [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16][emoji16][emoji16]Napendaga maandiko yako, uko vizuri mkuu.
OMG nimefurahi rafiki, dear law of attraction!, do something please[emoji12]Asante sana financial services. It means a lot coming from you. Hata wewe nakukubali sana. Tuombe siku moja law of attraction itukutanishe [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16][emoji16][emoji16]
Lala salama [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]OMG nimefurahi rafiki, dear law of attraction!, do something please[emoji12]
Usiku mwemaa.
Ooh haya makopa kopa hadi usingizi umepaa, thank you[emoji179][emoji307]Lala salama [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1502356