Silasuga mahinyila
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 209
- 114
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo mwisho sasa ulivyomalizia😂😂😂 anyway big up mkuu umenifanya walau nam nimepitia hiyo LAWS OF ATTRACTION. umeniongezea kitu. Thanks so much 🙏Mimi ni muumini mzuri wa law of attraction. Unapata kilichomo kwenye fikra, imani, falsafa na misimamo yako...na ulivyo wewe ni upande mmoja wa shilingi unaokamilishana na upande mwingine...
Kwa hivyo:
Unapata unachokitafuta na ambacho roho yako na fikra zako zimekuaminisha kuwa ndicho unachokihitaji na kustahili.
Ukitaka rafiki utapata rafiki...na huu ni msingi mzuri ambao juuye mambo mengine (mf. mapenzi) yanaweza kujengwa...na yakadumu...
Sasa wewe ni baharia na unatafuta mwenzio wa kuzini naye; tena bila msingi wo wote, ukiangukia kwa mdangaji kweli una haki ya kulalamika? Si umepata ulichokuwa unakitafuta?
Wapo mabinti hapa wenye sifa njema sana - wasomi, wanaojielewa, warembo, huru na marafiki wema mno. Inategemea tu na wewe unatafuta nini....na ukitafutacho ndicho ukipatacho...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mwanakulitafuta Mwanakulipata [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
😆😆😆😆Wengi wao ni Monopoulse na Masingle mother's....
mkuu taratibu huenda ni hobi yake.Huo muda wa kuanza kuwafikiria wanawake wa jf ungefikiria mengine ya maana ingekusaidia Sana.
Itakuwa kweli mana wakiwa wanakomenti hoja miandiko yao inakuwa na stress hatar14. Most women in here JF are single mothers.
15. Most women in here JF are so desperate, stressed and depressed( wamekata tamaa, wenye msongo wa mawazo na wenye huzuni)
16. Most women in JF are loose-women( Hawajui kumkataa mwanaume)
Hapo BAKITA wanasemaje?Monopoulse [emoji777][emoji777][emoji777]
Menopause [emoji818][emoji818][emoji818]
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Wanakusalimia [emoji16][emoji16][emoji16]Hapo BAKITA wanasemaje?