Unafunga TV sebuleni lakini kunakuwa hakuna tofauti na Bar au lodge

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.

Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.

Eboh,
 
Acha ujinga kufuatilia yasiyokuhusu utakuja kuukalia.
 
Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.

Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.

Eboh,
Mbona umemaindi sana hauoni mbali kwani
 
Ushamba mzigo, alokwambia wewe kuna STANDARD ya kufunga tv bar haitakiwi home au STANDARD ya kufunga tv home haitakiwi bar nani ? Hizi STANDARD umepata wapi ? We ni ISO ya TV placement ?... WHY FOOL PEOPLE TRY TO HIDE THAT THEY ARE FOOL BUT THEY CAN'T BECAUSE IT WILL EVENTUALLY POP OUT ?..
 
Shida nini tena mkuu
 
Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.

Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.

Eboh,
huo si ufungaji sahihi wa tv, imefungwa vibaya. Kwanza ukubwa wa tv inatakiwa iendane na ukubwa wa chumba/eneo. Unafunga tv juu nyuzi 45° huo si ni wehu? Funga tv nyuzi 180° kama hakuna ulazima wa kukwepa mwanga/mwale mnyoofu
 
Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.

Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.

Eboh,
Makubwa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom