Unafunga TV sebuleni lakini kunakuwa hakuna tofauti na Bar au lodge

Unafunga TV sebuleni lakini kunakuwa hakuna tofauti na Bar au lodge

Kweli kabisa mkuu, wanatupa shida sisi wageni hasa wageni wafupi.

Sebule kubwa, tv iko mbali na juu halafu ukubwa wake ni 32", aisee ni tabu mno.

Nawashauri ndugu zangu, nunueni tv kubwa walau kuanzia 55" ili sisi wageni tuenjoy. Yangu ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom