Ndio naenda KUSHINDA na kulala kabisaTV yake kanunua kwa pesa zake, kafunga kwake iwe chini au juu wewe yakutatiza nini?
Bado unaenda kwa watu kutizama TV kwani?? 🤔
Acha ujinga kufuatilia yasiyokuhusu utakuja kuukalia.Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.
Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.
Eboh,
MamaWe mama utakuwa unakesha kwa watu kuangalia sinema zetu,tv za watu zikuuma nini
UjingaAcha ujinga kufuatilia yasiyokuhusu utakuja kuukalia.
Nazipokea ila waache ushamba, yaani mtu anajiumiza kununua Tv alafu anaongeza maumivu kutazama TVPokea hizo comments sasa
Mbona umemaindi sana hauoni mbali kwaniWatu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.
Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.
Eboh,
Shida nini tena mkuuUshamba mzigo, alokwambia wewe kuna STANDARD ya kufunga tv bar haitakiwi home au STANDARD ya kufunga tv home haitakiwi bar nani ? Hizi STANDARD umepata wapi ? We ni ISO ya TV placement ?... WHY FOOL PEOPLE TRY TO HIDE THAT THEY ARE FOOL BUT THEY CAN'T BECAUSE IT WILL EVENTUALLY POP OUT ?..
Kwanini anatengeneza standard za kufunga tv sehemu ya watu ?Shida nini tena mkuu
HeheheKwanini anatengeneza standard za kufunga tv sehemu ya watu ?
huo si ufungaji sahihi wa tv, imefungwa vibaya. Kwanza ukubwa wa tv inatakiwa iendane na ukubwa wa chumba/eneo. Unafunga tv juu nyuzi 45° huo si ni wehu? Funga tv nyuzi 180° kama hakuna ulazima wa kukwepa mwanga/mwale mnyoofuWatu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.
Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.
Eboh,
Makubwa 🤣🤣🤣Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.
Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga sana kama walevi wakubwa walizaa watoto na wanaokutana lodge au bar kule ndo TV zinafungwa juu.
Eboh,