Ushaitia najisi hii post, Islam na ukristo unahusianaje hapaNdugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
here we goNdugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
Ishu ni pesa ipo..Ndugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
Budget asubuhi....afu mama sa kumi jion mkuuNaomba kuuliza. Mama anahutubia Bunge saa ngapi na hiyo bajeti ya wizara ya utu mishi saa ngapi?
Shukrani,tukipata wasaa ni vema kufatilia hotuba. Itatusaidia walau kufahamu vision ya mama kidogoBudget asubuhi....afu mama sa kumi jion mkuu
Kama wewe una roho ya kwanini ni wewe na sio WakristoNdugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
Wee! Uliona wapi dona kantri ikakosa pesa?Pesa ipo?? Hilo ndiyo swali!
Tutazipiga mnada zile ndege za marehemu ili hela ipatikane. Si ndiyo kipindi kile alituambia tusubiri anunue ndege kwanza. Halafu ndege zenyewe eti zinazalisha hasara tu!!Pesa ipo?? Hilo ndiyo swali!
Alisema hivyo tu kumaliza mjadala, lakini binadamu na jiwe kuwa kitu kimoja haiwezekani. Jiwe alikuwa na roho mbaya sana na hakuna mtz atakayeweza kumfikia.Hivi mmesahau aliposema yyna jiwe ni kitu kimoja?
Na unafikii ndani yakeNdugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
haijawahi tokea tangu dunia iumbwe.kuna mashetani ndani ya wizara,kurugenzi,idara mpaka ngazi za chini.maafisa utumishi wa nchi ni kikwazo kikubwa katika maendeleo ya watumishi.uozo mwingi umejaa huko na wakuu wa idara hawana la kusema sababu nao ni sehemu ya ushetani huo.rushwa na kulindana kumetopea ndani ya taasisi nyingi nchini.cjui kama watumishi watakuja furahia utumishi wao cjui wasubiri sanaaa.Ndugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.