Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaishi wapi? Huko hakuna hiyo infesheni?Kwa sisivwachumi tuna amini ukitangaza nyongeza unakaribisha inflation.sasa sijui lugha gani itatumika?
Na bado zimepanda kumekuwa na ongezeko la mshahara mkuu?Mishahara ikiongezwa ata kimya kimya itajulikana tu ivo huwezi kukwepa hiyo inflation, ila ni bora tulalamike inflation wakati Kuna kilichoongezeka .
haijawahi tokea tangu dunia iumbwe.kuna mashetani ndani ya wizara,kurugenzi,idara mpaka ngazi za chini.maafisa utumishi wa nchi ni kikwazo kikubwa katika maendeleo ya watumishi.uozo mwingi umejaa huko na wakuu wa idara hawana la kusema sababu nao ni sehemu ya ushetani huo.rushwa na kulindana kumetopea ndani ya taasisi nyingi nchini.cjui kama watumishi watakuja furahia utumishi wao cjui wasubiri sanaaa.Ndugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
watafuteni wachawi ambao ni vyama vya wafanyakazi na uoga wenu wa kudai maslahi yenu.jifunzeni kutoka kenya wawape uzoefu wao.mkiteuliwa kusimamia chaguzi mnafurahia lkn kudai maslahi yenu mnaogopa na sasa mnambebesha rais mizigo yenu wakati wawakilishi wenu mnao na wamenyamaza kinywa.mlichaguliwa au mnachagua?mfumo wenu wa uchaguzi ukoje?mmegawanywa au mnagawanyika?Kazi kwenu.hakuna marefu yasiyo na mafupi.Wewe unaishi wapi? Huko hakuna hiyo infesheni?
Umenunua sukari? Mafuta? Ngano? Sabuni? Bati?NONDO, sementi?
Miaka 6 hakina nyongeza na inflesheni ipo.
Unaishi wapi wewe...
Kama hujui bora unyamaze.haijawahi tokea tangu dunia iumbwe.kuna mashetani ndani ya wizara,kurugenzi,idara mpaka ngazi za chini.maafisa utumishi wa nchi ni kikwazo kikubwa katika maendeleo ya watumishi.uozo mwingi umejaa huko na wakuu wa idara hawana la kusema sababu nao ni sehemu ya ushetani huo.rushwa na kulindana kumetopea ndani ya taasisi nyingi nchini.cjui kama watumishi watakuja furahia utumishi wao cjui wasubiri sanaaa.
watafuteni wachawi ambao ni vyama vya wafanyakazi na uoga wenu wa kudai maslahi yenu.jifunzeni kutoka kenya wawape uzoefu wao.mkiteuliwa kusimamia chaguzi mnafurahia lkn kudai maslahi yenu mnaogopa na sasa mnambebesha rais mizigo yenu wakati wawakilishi wenu mnao na wamenyamaza kinywa.mlichaguliwa au mnachagua?mfumo wenu wa uchaguzi ukoje?mmegawanywa au mnagawanyika?Kazi kwenu.hakuna marefu yasiyo na mafupi.
Hakuna vyama vya wafanyakazi isipokuwa kuna mashina ya CCMhaijawahi tokea tangu dunia iumbwe.kuna mashetani ndani ya wizara,kurugenzi,idara mpaka ngazi za chini.maafisa utumishi wa nchi ni kikwazo kikubwa katika maendeleo ya watumishi.uozo mwingi umejaa huko na wakuu wa idara hawana la kusema sababu nao ni sehemu ya ushetani huo.rushwa na kulindana kumetopea ndani ya taasisi nyingi nchini.cjui kama watumishi watakuja furahia utumishi wao cjui wasubiri sanaaa.
watafuteni wachawi ambao ni vyama vya wafanyakazi na uoga wenu wa kudai maslahi yenu.jifunzeni kutoka kenya wawape uzoefu wao.mkiteuliwa kusimamia chaguzi mnafurahia lkn kudai maslahi yenu mnaogopa na sasa mnambebesha rais mizigo yenu wakati wawakilishi wenu mnao na wamenyamaza kinywa.mlichaguliwa au mnachagua?mfumo wenu wa uchaguzi ukoje?mmegawanywa au mnagawanyika?Kazi kwenu.hakuna marefu yasiyo na mafupi.
Hata mimi nawashangaa hawaHivi mmesahau aliposema yyna jiwe ni kitu kimoja?
Makadirio yalishawasilishwa tangu January hivyo hakuna jipyaWatumishi wa umma nawaona mlivo matumbo joto MDA huu.
Ila sioni Kama ilo la nyongeza ya mshahara mnalotarajia litaweza kutamkwa leo hii.
Possibly,
Siku ya Mei mosi ndo mahala pake