HahahahahaUmenikumbusha enzi zile tuko o'level, basi mwaka ukigawanyika kwa mbili tunaamini pepa itakua rahisi.. Mara paaap tukamaliza mwaka unaogawanyika kwa mbili na watu wakafeli kwa wingi kuliko mwaka wowote tangu shule ianzishwe.. Hivyo tegemea vyuma kukatika kabisa... Hahahahaha.