Unagawika kwa mbili

Unagawika kwa mbili

mimi ela

Senior Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
162
Reaction score
92
Tutafute ela,

Kama ilivyoada poleni na yote.
Naomba kushea kidogo,ni ivi kwamba nauona huu mwaka mpya#2018 unagawika kwa mbili,kwa mahesabu ya mwalim kashasha hapo au ata tuliofeli mathe ipo wazi [HASHTAG]#unagawika[/HASHTAG]

Hivyo basi ina maana kelele za vyuma zinazowapoteza nyumbu porini zitapungua,au hizi bado ni hesabu za kinyumbu mana wabongo wajuaji sana..

Mimi ela
 
hahahahaaaa mkila uyoga mnakua na ndoto za ajabu ajabu watanzaniaaa
 
mbona hili tera tu.....mkanda wenyew unakuja
 
Umenikumbusha enzi zile tuko o'level, basi mwaka ukigawanyika kwa mbili tunaamini pepa itakua rahisi.. Mara paaap tukamaliza mwaka unaogawanyika kwa mbili na watu wakafeli kwa wingi kuliko mwaka wowote tangu shule ianzishwe.. Hivyo tegemea vyuma kukatika kabisa... Hahahahaha.
 
Hahahahaha
Haoooo
2012
Nawaonaa
 
Back
Top Bottom