mimi ela
Senior Member
- Nov 9, 2017
- 162
- 92
Tutafute ela,
Kama ilivyoada poleni na yote.
Naomba kushea kidogo,ni ivi kwamba nauona huu mwaka mpya#2018 unagawika kwa mbili,kwa mahesabu ya mwalim kashasha hapo au ata tuliofeli mathe ipo wazi [HASHTAG]#unagawika[/HASHTAG]
Hivyo basi ina maana kelele za vyuma zinazowapoteza nyumbu porini zitapungua,au hizi bado ni hesabu za kinyumbu mana wabongo wajuaji sana..
Mimi ela