Uchaguzi 2020 Unagombea urais ili uonyeshe hasira za kushambuliwa na wahalifu, matokeo yake unaambulia aibu

Uchaguzi 2020 Unagombea urais ili uonyeshe hasira za kushambuliwa na wahalifu, matokeo yake unaambulia aibu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.

Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.

Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?

Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?

Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.

Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.
 
Mna anzisha vurugu nyie ili kuwatisha raia na Mali zao , Upinzani haujawahi leta fujo.

Sasa unasema mtu afate human right , wakati jeshi la polisi kazi yake kujuchnguza waalifu , ilitakiwa wachukue hatua za upelelezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema walimpiga risasi na Ansbert alikimbia asiuliwe anashindwa nini kwenda tume ya haki za binadamu.
 
Mbona polisi ni wazuri tu kila mahali wamejipanga ili uchaguzi uwe wa haki na huru nadhani wangemshukuru Rais aliye- declare kwa dunia kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni huru na haki. Hivyo polisi wanaohamishwa kama wapo basi ujue ni kwa sababu nyingine za uzembe au kimaadili.
 
Wenzio waliowahi kusema Lowasa mgonjwa hivyo hawezi kuwa Rais waTz, wengi waowamekufa wao na Lowasa bado yupo hai
 
Umeona alivyochoka wakati anaongea na waandishi wa habari?

Sio yeye tu hata mgombea mwenzake anapumzika Dodoma.
Screenshot_20200926_142514.jpg
 
Idugunde,

Kinachotakiwa msirudietena kitendo kibaya kama kile umenunua mindege unajisifu unajenga bwawa unajisifu reli unajisifu hatamtu kupigwa risasi tena eneo takatifu endelea kujisifu usichukie nimoja yanaendeleo yako usingempiga marisasi asingesema 28 .10.2020 ni yeye ndio kauli mbiu hiyo yavisasi wewe namgombea wako
 
Hayo mnayoyafanya mataga kuropoka kwamba wapinzani na wazungu mabeberu, kwenda kinyume na katiba, kujenga viwanja uwani
kwenu, na kuuwa wapinzani siyo chokochoko na uvunjifu wa amani?

Sent from my SM-G981B using JamiiForums mobile app
 
Yaani Lisu anatamani watu wote wapate maumivu anayoyapata yeye,

Ndio maana hana kiasi katika kauli zake, yeye hata ikitokea vita ni sawa tu ndio atafurahi zaidi kwani lengo lake la kusababisha maafa litakuwa limetimia.
 
  • Nzuri
Reactions: Ole
Back
Top Bottom