Uchaguzi 2020 Unagombea urais ili uonyeshe hasira za kushambuliwa na wahalifu, matokeo yake unaambulia aibu

Sijui wewe unaemtuhumu,unajua kahusika vipi?
Kama umepewa tenda ya kulinda banda la mbuzi na vyombo vya kukusaidia umepewa vyote na kiapo ukala kufanya kazi hiyo kwa uadilifu na uaminifu mkubwa kulingana na sheria ulizopewa, je ikitokea kila siku mbuzi anapotea au anauliwa, je ukiwajibishwa umeonewa?
 
Kuwajibishwa hata kama hukusika? Kwanza naomba unijibu hao ambao ndugu zao wepotea ni akina nani unawafahamu?
 
Umekosa majibu? Yaani mlinzi akipewa lind,akakabidhiwa siraha,mbuzi ikiibiwa ana kosa? Kwa rasi sababu in C in C raia wake akiuwawa anawajibika?
 
Kwa hiyo huamini kwamba wapo waliopotea! Are you for real?
 
Umekosa majibu? Yaani mlinzi akipewa lind,akakabidhiwa siraha,mbuzi ikiibiwa ana kosa? Kwa rasi sababu in C in C raia wake akiuwawa anawajibika?
Hebu tulia kwanza na andika kwa taratibu, hapa ulitaka kusema nini? Nimeshindwa kuelewa una maana gani!
 
Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.

Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.

Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?

Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?

Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.

Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.
Angepigwa risasi mama yako au tuseme mmoja katika familia yako usingeandika huu upupu hapa
Halafu usitupangie nini cha kukujibu uliuleta uzi wako humu kurembesha JF au kusikia maoni ya watu
Lissu ni chaguo la wengi waliodhulumiwa haki zao wewe endelea kuimba mapambio
Vitisho kebehi nyiiiingi
Usituvuruge bwuaaanana
Mlitegemea afe au
 
Hahaaa haa.

Katika yote uliyoandika la maana ni kutambua huyu bwana kuwa ni mwanasheria nguli peke yake.

Mengine bro aaah aaah!

Hapo hatudanganyiki. Jiwe katunyima uhuru na haki zetu. Tunavitaka hivyo sasa.

Matukio ya Lissu kushambuliwa yanaangukia kwenye huo uporwaji haki za kuishi zilizowasibu wengi wakiwamo kina Sanane, Azory, wale wa kwenye viroba, waliojeruhiwa kama kina Lissu nk.

Kwamba ni mwanasheria nguli kisha unasahau na kuanza kumkosoa kitoto hivi? Aaah aaah!

Wewe hujiulizi ni kwa nini wanasheria wengine wote wameufyata? Yuko wapi dr. mihogo, mpara magamba, joka la makengeza, binti askon au makembe?

Unadhani kwa nini hawatii neno?

Hii ngoma siyo saizi yako jombi.
 
Kwa heri.
Haya asante kujadiliana nawe, ubarikiwe sana ila ukumbuke ndugu zake Ben Saanane wanamlilia, ndugu zake Azory Gwanda wanamlilia na waliopotelewa ndugu zao wote wanalia. Hizo ndizo sababu za Mh. Tundu Antiphas Lissu kugombea Urais...uhuru, haki na maendeleo ya watu ikiwa ni pamoja na kutokomeza wahalifu waliofugwa katika awamu hii na kupewa jina la wasiojulikana. Jioni njema.
 
Yaani Lisu anatamani watu wote wapate maumivu anayoyapata yeye,

Ndio maana hana kiasi katika kauli zake, yeye hata ikitokea vita ni sawa tu ndio atafurahi zaidi kwani lengo lake la kusababisha maafa litakuwa limetimia.

Mkuki kwa nguruwe siyo jombi?

Ingekuwa wewe ungekuwa ulishangilia sana?

Buku 7 tu hizo? Zikiwa 8 je?
 
Angepigwa risasi mama yako au tuseme mmoja katika familia yako usingeandika huu upupu hapa
Halafu usitupangie nini cha kukujibu uliuleta uzi wako humu kurembesha JF au kusikia maoni ya watu
Lissu ni chaguo la wengi waliodhulumiwa haki zao wewe endelea kuimba mapambio
Vitisho kebehi nyiiiingi
Usituvuruge bwuaaanana
Mlitegemea afe au
Offpoint madam.
 
Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.

Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.

Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?

Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?

Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.

Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.
Mkuu umeongea kama vile sio Mtanzania mwenzetu?yaani dhuluma zote katka nchi hii huzioni kweli? Mpaka mtu mmoja miongoni mwetu ameamua kutusemea ili Taifa lilinde utu wetu leo mtu kama wewe unaleta propaganda za kitoto namna hii?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kama hujaelewa mada husika kaa kimya.
 
Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.

Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.

Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?

Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?

Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.

Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.
Na wewe is ugombea uonyeshe hasira zako..
Poleni...mataga....
 
Day light dreaming
 
Back
Top Bottom