Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Think outside your box..!! Wenzio walitaja ugonjwa... sawa na wewe uliyetaja risasi....Hili linaingia vipi hapa? Au hujui kusoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Think outside your box..!! Wenzio walitaja ugonjwa... sawa na wewe uliyetaja risasi....Hili linaingia vipi hapa? Au hujui kusoma?
Idugunde, umejiunga na JF mwaka huu mwezi wa tano au siyo? Ngoja nikupashe habari ambayo ama unaijua vizuri au umeamua kwa makusudi unayoyajua kuyapuuzia na nitaanza kwa maswali manne tu.Unagombea urais ili uonyeshe hasira za kushambuliwa na wahalifu, matokeo yake unaambulia aibu.
Hii sio justification ya kugombea urais,kisa kuna watu wasiojulikana.Idugunde, umejiunga na JF mwaka huu mwezi wa tano au siyo? Ngoja nikupashe habari ambayo ama unaijua vizuri au umeamua kwa makusudi unayoyajua kuyapuuzia na nitaanza kwa maswali manne tu.
Kwa ufahamisho zaidi ni kuwa kikundi hicho hatari cha wasiojulikana hadi hii leo hakijawahi kukamatwa wala kutiwa nguvuni. Idugunde, je mpaka hapo nimesema uongo? kwa heshima na taadhima naomba majibu yako kwanza kabla sijaendelea,
- Je unakiri kuwa kuna kikundi watu wahalifu wanaodaiwa kutojulikana ama unakataa?
- Watu hawa kazi yao ni kuteka, kutesa na kupoteza raia wanaoikosoa serikali hii, je unajua hilo?
- Vyombo vyetu vyote vya Usalama vimewahi kukiri katika nyakati tofauti uwepo wa watu hawa, je hii ni kweli?
- Hata ilifikia hatua ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kulaumu kikundi hicho kwa kila kitendo kiovu kilichotokea, je hii ni kweli?
Kwa kuwa utawala wa sasa umeshindwa kuwashughulikia watu hao wanaoumiza wananchi je hudhani kwamba usalama wa wananchi ni hoja muhimu ya kugombea kama unaamini unao uwezo wa kutokomeza kadhia hiyo?Hii sio justification ya kugombea urais,kisa kuna watu wasiojulikana.
Simsikilizi msaliti ikiwachadema ndio wajeshi nchini hapo sawa unafikiri kuingia sehem takatifu kama ile nimzezo jaribu uone chadema walikuwa wanatolewa bungeni kwa kutumia askari walinzi wabunge sasa nikuulize wewe walinzi nani aliwatoa siku hiyo.Ukweli huu hapa aliusema Dk MollelView attachment 1581526
Kama serikali imeshindwa kulinda usalama wa raia wake watu wangekuwa wanafanya kampeni? Watu wangekuwa wanaishi kwa amani na usalama? Biashara zingekuwa zinafanyika usiku kucha?Kwa kuwa utawala wa sasa umeshindwa kuwashughulikia watu hao wanaoumiza wananchi je hudhani kwamba usalama wa wananchi ni hoja muhimu ya kugombea kama unaamini unao uwezo wa kutokomeza kadhia hiyo?
Kumbuka Rais wa sasa aliapa kuwalinda wananchi na alipewa vyombo vya kumsaidia katika kutimiza hilo.
La pili, kama huwezi kuwahakikishia wananchi usalama wao pamoja na vyombo vyote vilivyo chini yako, je una haki gani kuendelea na uongozi? Idugunde, twende tu taratibu bila jazba.
Muulize Dk Mollel.Simsikilizi msaliti ikiwachadema ndio wajeshi nchini hapo sawa unafikiri kuingia sehem takatifu kama ile nimzezo jaribu uone chadema walikuwa wanatolewa bungeni kwa kutumia askari walinzi wabunge sasa nikuulize wewe walinzi nani aliwatoa sikuhiyo
Kamera nani alizizima sikuhiyo unataka
Fatilia mkutano wakampeni we chama cha magu hapakuna kijana anagombea urais mambieni aache nitamtafutia kikazi kidogo kazipo nyingi haya nibaadhi nilionukuu nampenda sana
Majibu yayule alioambiwa kupewa kikazi
Mulizeni nikinani walinipiga risasi
Kamakweli anipenda kwanini alininyima pesa yamatibabu
Jamaa yenu hajawahi kukubali walakukataa
Yeye huyo molle ndio alipigwa marisasi alikuwepo kwenyetukio kilakitu kinamtupa kamamlimnunua kwaajili yakuwafichia maovu imebuma ingekuwa lisu kafa porojo zenu zingetiki lakini yupommekwamaMuulize Dk Mollel.
Yeye ndioaliopigwa risasiMuulize Dk Mollel.
Kwa hiyo wewe umeridhika na matukio ya watu kutekwa, kuteswa, miili yao kuokotwa kwenye viroba...kwako yote sawa tu. Waliopotelewa na ndugu zao wasiitake serikali kuwajibika na badala yake wamuongezee awamu nyingine aliyesimamia serikali hiyo au siyo?Kama serikali imeshindwa kulinda usalama wa raia wake watu wangekuwa wanafanya kampeni? Watu wangekuwa wanaishi kwa amani na usalama? Biashara zingekuwa zinafanyika usiku kucha?
Hao ambao ndugu zao waliokotwa kwenye viroba wapo wapi? Unawafahamu? Kwa nini wasichukue hatua stahiki kama kwenda tume ya haki za binadamu ili haki ipatikane?Kwa hiyo wewe umeridhika na matukio ya watu kutekwa, kuteswa, miili yao kuokotwa kwenye viroba...kwako yote sawa tu. Waliopotelewa na ndugu zao wasiitake serikali kuwajibika na badala yake wamuongezee awamu nyingine aliyesimamia serikali hiyo au siyo?
Una maana gani kuuliza ushahidi kama JPM alihusika moja kwa moja? Hebu fafanua kidogo, kuna kuhusika aina ngapi?Wewe unao ushahidi gani kuwa JPM kahusika moja kwa moja. Unaweza kutoa ushahidi mbele ya tume za haki za binadamu sheria ifuate mkondo?
Job 14:2 He cometh forth like a flower, and is cut down: he fleeth also as a shadow, and continueth not. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.
Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.
Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?
Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?
Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.
Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.