Kama umepewa tenda ya kulinda banda la mbuzi na vyombo vya kukusaidia umepewa vyote na kiapo ukala kufanya kazi hiyo kwa uadilifu na uaminifu mkubwa kulingana na sheria ulizopewa, je ikitokea kila siku mbuzi anapotea au anauliwa, je ukiwajibishwa umeonewa?Sijui wewe unaemtuhumu,unajua kahusika vipi?
Kuwajibishwa hata kama hukusika? Kwanza naomba unijibu hao ambao ndugu zao wepotea ni akina nani unawafahamu?Kama umepewa tenda ya kulinda banda la mbuzi na vyombo vya kukusaidia umepewa vyote na kiapo ukala kufanya kazi hiyo kwa uadilifu na uaminifu mkubwa kulingana na sheria ulizopewa, je ikitokea kila siku mbuzi anapotea au anauliwa, je ukiwajibishwa umeonewa?
Umekosa majibu? Yaani mlinzi akipewa lind,akakabidhiwa siraha,mbuzi ikiibiwa ana kosa? Kwa rasi sababu in C in C raia wake akiuwawa anawajibika?Kama umepewa tenda ya kulinda banda la mbuzi na vyombo vya kukusaidia umepewa vyote na kiapo ukala kufanya kazi hiyo kwa uadilifu na uaminifu mkubwa kulingana na sheria ulizopewa, je ikitokea kila siku mbuzi anapotea au anauliwa, je ukiwajibishwa umeonewa?
Kwa hiyo huamini kwamba wapo waliopotea! Are you for real?Kuwajibishwa hata kama hukusika? Kwanza naomba unijibu hao ambao ndugu zao wepotea ni akina nani unawafahamu?
Hebu tulia kwanza na andika kwa taratibu, hapa ulitaka kusema nini? Nimeshindwa kuelewa una maana gani!Umekosa majibu? Yaani mlinzi akipewa lind,akakabidhiwa siraha,mbuzi ikiibiwa ana kosa? Kwa rasi sababu in C in C raia wake akiuwawa anawajibika?
Angepigwa risasi mama yako au tuseme mmoja katika familia yako usingeandika huu upupu hapaAmesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.
Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.
Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?
Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?
Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.
Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.
Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.

Haya asante kujadiliana nawe, ubarikiwe sana ila ukumbuke ndugu zake Ben Saanane wanamlilia, ndugu zake Azory Gwanda wanamlilia na waliopotelewa ndugu zao wote wanalia. Hizo ndizo sababu za Mh. Tundu Antiphas Lissu kugombea Urais...uhuru, haki na maendeleo ya watu ikiwa ni pamoja na kutokomeza wahalifu waliofugwa katika awamu hii na kupewa jina la wasiojulikana. Jioni njema.Kwa heri.
Yaani Lisu anatamani watu wote wapate maumivu anayoyapata yeye,
Ndio maana hana kiasi katika kauli zake, yeye hata ikitokea vita ni sawa tu ndio atafurahi zaidi kwani lengo lake la kusababisha maafa litakuwa limetimia.
Zile hoja za waandishi wa habari alivyozijibu, Magufuli hata wangempa mwaka mzima azitafutie majibu asingeweza!Umeona alivyochoka wakati anaongea na waandishi wa habari?
Offpoint madam.Angepigwa risasi mama yako au tuseme mmoja katika familia yako usingeandika huu upupu hapa
Halafu usitupangie nini cha kukujibu uliuleta uzi wako humu kurembesha JF au kusikia maoni ya watu
Lissu ni chaguo la wengi waliodhulumiwa haki zao wewe endelea kuimba mapambio
Vitisho kebehi nyiiiingi
Usituvuruge bwuaaanana
Mlitegemea afe au
Mkuu umeongea kama vile sio Mtanzania mwenzetu?yaani dhuluma zote katka nchi hii huzioni kweli? Mpaka mtu mmoja miongoni mwetu ameamua kutusemea ili Taifa lilinde utu wetu leo mtu kama wewe unaleta propaganda za kitoto namna hii?Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.
Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.
Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?
Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?
Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.
Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.
Soma mada alafu jibu kulingana na mada.
Kama hujaelewa mada husika kaa kimya.Mkuu umeongea kama vile sio Mtanzania mwenzetu?yaani dhuluma zote katka nchi hii huzioni kweli? Mpaka mtu mmoja miongoni mwetu ameamua kutusemea ili Taifa lilinde utu wetu leo mtu kama wewe unaleta propaganda za kitoto namna hii?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.
Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni kuvunja sheria za nchi na kuambulia aibu.
Hivi kwa nchi kama Tanzania ambayo inajiendesha kwa misingi ya katiba na sheria mgombea urais unasimama jukwaani na kudai serikali ilikupiga risasi na rafiki yako Ansbert Ngurumo alinusurika kuuwawa na kukimbilia Finland. Huoni kama huu ni uchochezi?
Wewe ni mwanasheria Nguli unafahamu namna human rights violations zikifanyika hatua gani ziaweza kuchukukiwa. Kwa nini hizo hatua hujazifuata na kubaki kuongea maneno ya uchochezi?
Leo bila ya aibu unasema unazo habari za kusikia ambazo huna uhakika nazo, unasema maafisa wa polisi huko Songwe na Geita wamehamishwa vituo vya kazi, kisa tu waliwadhibiti wanachama na wafuasi wa CCM waliotaka kukufanyia vurugu. Mbona hizo habari hatujazisikia toka kwa msemaji wa jeshi la polisi? Hii ni aibu kwa mwanasheria nguli kutoa taarifa za kusikia tu.
Hii yote ya kuwa unaropoka mambo ambayo hayaendani na sera wala kampeni za Chadema ni sababu uligombea urais ukijua huwezi kushinda,bali ulitaka upatiwe nafasi kuonesha ghadhabu zako baada ya kuwa umeshambuliwa na watu wabaya. Lakini hii sio solution maana matamko yako yana lengo la kuhatarisha amani ya taifa letu.
Na wewe is ugombea uonyeshe hasira zako..
Poleni...mataga....
Day light dreamingAmesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.