Uchaguzi 2020 Unagombea urais ili uonyeshe hasira za kushambuliwa na wahalifu, matokeo yake unaambulia aibu

MiCCM mulizoea kushindana na mamluki wenu kama wakina Prof Lipumbavu,Dr Slaa aka Mihongo,

Kwa mala yakwanza nikiri 2015 CMM mukaingiza mamluki Mzee Lowassa bila hata intelligence ya CHADEMA kugunduwa kwa safari hiyi mumejaribu kumtumia Membe but imekua dead game. Mr Lissu ni damudamu Mpinzani ndiyo maana mumepata challenge hatari ambayo haijatokea.Mwaka huu lazima mujambe cheche.
 
Uchochezi? Serikali ijibu uchochezi huu basi, mbona jiwe hajasema chochote kila siku anaambiwa ndiye mhusika mkuu lakini anaishia kukaa kimya unafikiri nini. Uchunguzi wa tukio hili upo wapi miaka mitatu sasa? Huwezi kuwa na akili timamu kwa kutetea ushetani kama aliofanyiwa Lisuu. Wewe utakuwa mtu mbaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…