Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Acha maofutopiki turudi kwa yetu mada,
Kati ya watu wote wakaka na kina dada,
Mapointi nayoyamwaga kwa kila zote mada,
Huoni ninavofaa kupata yako kura?

Hahahahahahahaa...wana nimeipenda hii...naomana mmeamua kutoka kivingine!Lini single?
 
mtoa mada ruhusa kumtaja hata mwanamke mwenzako kama unampenda? coz kuna mdada humu nampendaga sana
( sio kimapenzi)
 
Kipenzi changu, barafu wangu evelyne salt huyu namuoa kabisaa
 
hebu jaribu kupitia page moja hadi nyingine ukute umetajwa
DEMBA hebu do ze nidiful, huenda ni wewe umenitaja nisipate kazi ya kupekua page zote?:help::help:
 
Last edited by a moderator:

Wewe! Kwani vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…