Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 440
- 297
Duh huu uzi umefufuliwa lini??
Anyways . . . napita tu.
Kaizer pia ni moja ya ndugu zangu niwapendao na nafurahia uwepo wao hapa jamvini.
Kuna dada zangu kina Fixed Point, Snowhite, MwanajamiiOne etc.
Bila kumsahau Roulette na rafiki chipenzi Dena Amsi.
List ni ndefu . . . . ni wengi sana ninaowafeel
tuheshimiane huyo yupo occupied tayari
Wewe Man U au Arsenal Mkuu?