Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Mkuu uko fresh sana kwenye kuuza maneno matamu matamu kama peremende za ubuyu

Hahahaa....chezeya aliyekwambia watwange maneno.makavu makavu nani..hivi Munkari hamna mahusiano kweli I mean humfeel?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kimwari wangu naona hajacomment bado,ngoja nipige kimya nione nani anamfukuzia
 
hahaha Mokoyo usinivunje mbavu usiku huu.......kama hakijavunjika toka ujanani wakati huu hakiwezi, huyu DEMBA atahandle with care najua

Hahahaaaaaa!Hakijavunjika tokea ujanani?Kweli kama hakikuvunjika basi hakuvunjiki tena!!!Hahaaahaaa,JF bwana,very interesting!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa!Hakijavunjika tokea ujanani?Kweli kama hakikuvunjika basi hakuvunjiki tena!!!Hahaaahaaa,JF bwana,very interesting!

Ndo ivo, suala la simple logic tu...... DEMBA is in for a biiig surprise
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom