Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Mamndenyi
kama ni sumu acha wanipe moyo wenyewe umeshakufa kwa mapenzi hakuna noma kufia mahabani!

Mkuu chama bora kufia mahabani kuliko kufia kifuani, hahaha. Kumbuka Mamndenyi ni mtaalamu asiyechuja. Il wakati mwingine nikim-compare Kaizer na DEMBA Napata shaka maana DEMBA bado kigoli mbichi sasa Sir Kaizer umri umeenda kama Sir Alex Ferguson. Sijui tunaweza pata breaking news
 

Hii thread ni ya siku nyingi kidogo nadhani Fixed Point alikuwa bado siyo member wa JF ndo maana sijawahi ku-comment kitu hapa.
 
Last edited by a moderator:
makoyo naona umenipa kisifa
sijui niseme asante.

 
Last edited by a moderator:
makoyo weye
mie sipo ujue,

.............
"To fear love is to fear life, and those who fear life are already three parts dead" Bertrand Russell:yell:"........... makoyos' signature
Mamndenyi chekelea maana wamama/wadada wengine wako very poor
 
Last edited by a moderator:
mkuu makoyo wahenga wanasema utu uzima dawa na hawa watu wazima ndo wanajua mahaba. vijana hawajui ku care
 
mkuu makoyo wahenga wanasema utu uzima dawa na hawa watu wazima ndo wanajua mahaba. vijana hawajui ku care

DEMBA, sio wazee wote bana, kuna wengine wamejichokea ile mbaya, wadada wanakula hela yao tu chapchap
 
Some members here i love them a lot...
and some members here i dont like them at all
very boring and time wasting reading anything they write.........

na kwako iko hivyo hivyo, kuna unaowaboa na unaowaburudisha. ha aha ha ha haaaaaa dunia msongamano!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…