Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Much love Madame B.

Sasa Nyanii Ngabu nae kaingiaje tena? Hahahahahahahahahaaha...

ZeMarcopolo...hulali,muda umekwenda.
Btw Nyani Ngabu nampenda tu sijui hata kwa nini japo kuna mahala tunakutana na kutupiana vijembe.
Wapo wengi, zomba, Ritz nao nawapenda, kulikuwa na huyu Matola...sa hivi kawa upande wa pili wa shilingi,sijui kwa nini, ila nadhani hapendi kuona najiita mtoto wa Kinondoni.
 
Last edited by a moderator:
chama siku hizi umempotezea wapi Ritz simsikii ujue

Mokoyo
Kama mvuvi vua usicheze na mashua! mvuvi kama mimi kufa baharini fahari nitachekwa nigongwa na daladala; hebu fikiria mauti yanakukuta umelala kifuani kwa unayempenda; kimwana mwanana kama Mamndenyi hata uchungu mauti hutausikia!
 
Last edited by a moderator:
Madame B
kidogo kidogo unanifuata siasani chama dada anaonyesha nia.

 
Last edited by a moderator:
Kaizer jamani
mie ndo nshahamia siasani dada yako
loooh,
acha tu nijilie mema ya nchi hii kwa chama

haaa DEMBA we unamsikiliza chama? keshasema mvuvi kufia baharini inaswihi kabisa na sio kugongwa na dala dala. Kwa Mamndenyi naona ndo hakuna gia ya reverse lol naona tumwite kwenye mpambano
 
Last edited by a moderator:
Mokoyo
Kama mvuvi vua usicheze na mashua! mvuvi kama mimi kufa baharini fahari nitachekwa nigongwa na daladala; hebu fikiria mauti yanakukuta umelala kifuani kwa unayempenda; kimwana mwanana kama Mamndenyi hata uchungu mauti hutausikia!

Mkuu chama nimeamini weye mvuvi mahiri na mweledi na ndio maana bibie Mamndenyi hasikii wala haoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…