Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Madame B, au unavizia viti maalumu? maana in all ways inaonekana Mhe. ZeMarcopolo, atatwaa U-MP 2015

Yaani mie sijali kama ataukwaa u-MP au vipi, lakini kwa kweli nimeshindwa kujizuia juu yake.
Kila nionapo post yake mie lazima niifungue.
Japo nina wa ubani wangu Ben Saanane, lakini huyu...
Kiboko.
 
Last edited by a moderator:
namzimia The boss...vile anatumia avatar ya denzel Washington na mie namzimia denzel hapa roho kwatu
 
namzimia The boss...vile anatumia avatar ya denzel Washington na mie namzimia denzel hapa roho kwatu

Pole kwa kumpenda The Boss, maana jamaa yule uso wa mbuzi, hajui mahaba kabisaa, utajichosha tu. Kama vipi jiondokee
 
Dah..mokoyo umenirudisha getini kabisa, but cjui, ila avatar yake inamdescribe jinsi alivo. Hana tofauti na Denzel Washington
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…