Unahisi kumpenda nani hapa JF?

NAMPENDA SAANA! rubii, UANDISHI WAKE, YAONYESHA NI BINTI MREMBO ASIE NA MAKUU NA ANAEJIHESHIMU PIA.
 
mokoyo hebu anza kusema wewe kwanza nasi tuanze kusema tunafurahishwa na miandiko ya akina nani humu jf
 
Kuna wengine tulishawapenda ila Mungu kawapenda zaidi... Uzi mkuuukuu sana wa mwaka 47
 
heee jamanii huwa nilikuwa nawaza amekwenda wapi nikajua mod wamemlima life ban mmmh

alikufa kwa malaria? rip mkuu malaria
Sababu ya kifo sikuifahamu ila i can confirm the man kicked the bucket some days ago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…