Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Nampenda Sana na sitajali kama Ni Mkubwa au size Yangu au Mdogo.
Nitamfuata PM siku ikifika. Anajitambua kabisaaa.
 
Nilishawahi kumfuata PM lakini dah, kwa maongezi aliyonipa aliniuwa zaidi sikuweza kuendeleza mazungumzo. kila siku nawaza kuendeleza mazungumzo lakini inaishia kwenye wazo tu, lakini mwenyewe anajijua vizuri.
 
Makapuku wajambo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…