Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

-Sijui nimtaje,ila je kama ana mtu si itakua utata hapa teh teh teh!
Ohhhh jamani mpenzi wangu....
Bado nakukumbuka sana.
Naamini iko siku tutaonana.
20180905_222452.jpg
 
-Sijui nimtaje,ila je kama ana mtu si itakua utata hapa teh teh teh!
wherever you are(in the grave or somewhere secret on earth, alive or dead),plz know that jf community miss you so much.

NB:
huu uzi umenikumbusha member wenzangu wa jf wa zamani sana. wakati huo nilikuwa natumia ID tofauti na hii ninayotumia sasa.
 
-Sijui nimtaje,ila je kama ana mtu si itakua utata hapa teh teh teh!
Duh asee hii dunia basi tu stori inaweza badilika muda wowote,,
Nimepitia huu uzi leo kipindi iko 2010 nlikua bado sijajiunga JF ila nimeona hii comment nimesikitika Sana.
 
Back
Top Bottom