Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Mie Bishanga tu, ananikondeshaje?

Kongosho mie pia unanikondesha na hiyo body yako ya kisukuma,sasa hapo na wewe unakondehwa na mwingine.Jamani mie sijui nirudi unyamwezini maana naona wote wana wenyewe,ha ha ha .........idd Mubarak bibie
 
mi nampenda Husninyo. yaani huyu dada cjui kaka namzimikia ile mbayaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Minal faidhina

Mie mzima, sasa nakikondesha kwa avatar yangu? Hata haivuitii

Kongosho mie pia unanikondesha na hiyo body yako ya kisukuma,sasa hapo na wewe unakondehwa na mwingine.Jamani mie sijui nirudi unyamwezini maana naona wote wana wenyewe,ha ha ha .........idd Mubarak bibie
 
Tuseme ukweli tuu jamani kwani tunaonana uso kwa uso? Wakati mioyoni mwetu tunafahamu sana kuwa mtu unapoanza kusoma alichochangia fulani na fulani unajua kabisa nani na nani wanaokuvutia kwa hoja na mawazo yao kila uingiapo humu JF. Mimi niko wazi kabisaaaaaaa, nawapenda wote lakini kuna wanaonifurahisha sana humu nao ni.. FL1 na KAIZER... ningekuwa na uwezo wa kuwaona live kweli ningeandaa kiti moto kama wanatumia basi tungeila pamoja na kubadilisha nao mawazo!
Mhe. Kaizer ni Sheikh huyu, hatumii hayo mambo:ban:
 
Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?

NAJILIPUA.......Aiseeeeee miss strong..:yield:
 
Back
Top Bottom