Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

kumbe kuna watu wanapenda vivuli humu eenh?
 
Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?

Nampenda sana mayenga, he is a good person. Najifunza mengi kutoka kwake.
 
Mkuu kuna watu wamefunga real ndoa huku kwa kupitia vivuli, kama bado single try bana, you never know

Naam mkuu natambua hilo...lakini si unaona hadi sasa hakuna aliyempenda watu8 :becky:
 
Back
Top Bottom