Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani Lara1 ameuza ile mbaya, vijana wengi wanamshobokea ile mbaya
Hivi nikiweka wazi kwamba na-mmaind Mamndenyi, mtu wako ataniacha kweli?
Lakini Mamdenyi, si huwa tunaongea sana humu kwamba kuna factors mwanamke zinam-lead kuchagua partner wake? mimi naweka wazi nimekuzimia. Nadhani ni juu yako kuamua, yeye au mimi.usiweke mwaya
hawakawii kunitolea uvivu;
Lakini Mamdenyi, si huwa tunaongea sana humu kwamba kuna factors mwanamke zinam-lead kuchagua partner wake? mimi naweka wazi nimekuzimia. Nadhani ni juu yako kuamua, yeye au mimi.
huyu Lara1 huyu huyu ana kismati kweliLara 1...my dream!
hakimbii mtu hapa kama vipi tafuta wadhamini wa mpambano
Mamndenyi
Lara 1...my dream!