Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Heaven on earth, hivi DEMBA ni mdogo wako? Mbona kuna nyakati niliwaona jukwaa fulani mkizungumza na Kaizer kimahaba habati, kilaazizi laazizi zaidi. Mimi nikajua watoka naye. Eeee kwakweli nahitaji ufafanuzi au nipeleke hizi tuhuma kwa Baba Paroko
jamani makoyo uje mwenzio nina presha ya kushuka hivoo
 
Last edited by a moderator:
DEMBA, ndio ufikirie mara mbilimbili sasa vinginevyo utapata combination ya presha ya kushuka na kupanda. Hivi si umuwache tu huyo Baba cc:Kaizer

imeshakuwa too late kufikiria mara mbilimbili makoyo maji nimeshayavulia nguo, sharti...................................
 
Last edited by a moderator:
imeshakuwa too late kufikiria mara mbilimbili makoyo maji nimeshayavulia nguo, sharti...................................
siyo lazima uyakoge, just vaa nguo zako, huyo baba kaizer huyo, haya weee
 
Back
Top Bottom