Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Jamani mbona mimi sitajwi? Kumbe nimefulia, duh, ngoja nikajifiche!!!
 
Nawapenda wapenda.., wakina nani
Nawapendaaa!
Vijana fulani, nani,
Nawapenda.......
Wahuni kidogo, nawapenda,
Ni vichwa kichizi, nawapenda.
Serious when needed, nawapenda.
Wanafikiri nje ya box, nawapenda
Wacheshi sana, nawapenda.
Wanapenda mabia na mavaluu na mavinywaji ya baridi
Nawapenda....
wanajamiiana sana (wana-socialize sana)
Nawapenda.
 
Nawapenda wapenda.., wakina nani
Nawapendaaa!
Vijana fulani, nani,
Nawapenda.......
Wahuni kidogo, nawapenda,
Ni vichwa kichizi, nawapenda.
Serious when needed, nawapenda.
Wanafikiri nje ya box, nawapenda
Wacheshi sana, nawapenda.
Wanapenda mabia na mavaluu na mavinywaji ya baridi
Nawapenda....
wanajamiiana sana (wana-socialize sana)
Nawapenda.

wataje sasa....au bado unatudengulia kwanza......
B nilikumis, visusio viliendaje??
 
Nawapenda wapenda.., wakina nani
Nawapendaaa!
Vijana fulani, nani,
Nawapenda.......
Wahuni kidogo, nawapenda,
Ni vichwa kichizi, nawapenda.
Serious when needed, nawapenda.
Wanafikiri nje ya box, nawapenda
Wacheshi sana, nawapenda.
Wanapenda mabia na mavaluu na mavinywaji ya baridi
Nawapenda....
wanajamiiana sana (wana-socialize sana)
Nawapenda.
inatosha mpwa😀😀😀
 
Jamani mbona mimi sitajwi? Kumbe nimefulia, duh, ngoja nikajifiche!!!
Chupaku hujafulia ila kuna mtu mmoja anaitwa Mfunyu...(malizia mwenyewe) akikuona tu lazima aku-mention, just wait, subira yavuta heri utapata mambo safi
 
Mpwa Goeff nitafutepo nina ujumbe wa muhimu sana ambao hautakiwi ulale

Hommi Xpin kuna data na-analyse lakini so far mambo mazuri

MJ1 popote ulipo....una kesi ya kujibu
 
Mimi nawapenda cheusimangala na First lady
Kuna kitu kinanichanganya kuhusu huyu jamaa ile avatar yake iko wapi? Ilinifanya nivunje muafaka, leo nimeona makubwa, irudishe bana, JF pataboa bila ile avatar
 
Kuna kitu kinanichanganya kuhusu huyu jamaa ile avatar yake iko wapi? Ilinifanya nivunje muafaka, leo nimeona makubwa, irudishe bana, JF pataboa bila ile avatar

oooh puliz!!!!!!!!
 
na kweli bestlady
nilidhani bado nimefunga.......
Sio mbaya lakini bht, si unajua hii Kwaresima ukipitiliza unatangaza tu kuwa nimefunga, kuliko kwenda kula saa kumi utapingana na utaalamu wa Ndugu Ndodi
 
Back
Top Bottom