NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
This guy is brilliant.Mashabiki wenzangu semeni mapema ili tupeleke report kwa baba (TFF na Bodi ya Ligi)
Hii siyo Bure kabisa binafsi naona kama tumehujumiwa kabisa
Nawasilisha hoja
View attachment 3352127
Kweli kabisa kocha la CAF hiliThis guy is brilliant.
Atafika mbali sana!
Yupo good sanaTop referee
Walikua wanataka sana Huyo Lakini kimewalambaRefa wetu mpendwa Hersi naona wamemfungia kwa kiojndi ambacho ligi hakuna, ligi ikianza kifungo kimekwisha anaendelea kuiasidia timu yetu pendwa ya Simba kushinda kila mechi atakayokuwa anachezesha.
Huyo Hersi mashabiki wanatakuwa wamvunje miguu aje kuchezesha akiwa anatembea na magongo!
So sadYaani Aragija anashindwa kutupa hata penalties 3 mechi nzima dakika90?
Hata kuwapa SBS red card za mchongo akashindwa
Kwanini hajakataa magoli ya SBS na kusema zilikuwa offside
KOCHA?Kweli kabisa kocha la CAF hili
Simba hawawezi kumtaka refa mpenda haki hata siku mojaWalikua wanataka sana Huyo Lakini kimewalamba
Hakika yaaaniIle dabi ya hatuchezi huyu angefaa sana
Mashabiki Wa Yanga watamchangia πMwamba kanyooka sanaView attachment 3352148
Refa πKOCHA?
Wala zile dakika 30 za nyongeza hakuna πPoleni Sana leo hamkupewa penati