Unahisi Mwamba kazingua wapi Kabla sisi (Viongozi Wa Simba SC) hatujamchukulia hatuka Kali ya kumshitaki TFF na Bodi ya Ligi ?

Proffessionalism vs tumbo.... Aradjga amelishinda tumbo! Top referee kwa nyakati sahihi ambazo watu wanaliabna marefa wapuuzi, Sassi amejipotezea Heshima kabisa.
 
Yaani achezeshe na MAGONGO.. Si bora tu akapewa 3 MWALONGO..
 
Proffessionalism vs tumbo.... Aradjga amelishinda tumbo! Top referee kwa nyakati sahihi ambazo watu wanaliabna marefa wapuuzi, Sassi amejipotezea Heshima kabisa.
Kweli kabisa 😁
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…