Unahisi mwana JF yukoje kimtazamo wako

Moderator ni mbaba mainda hivi anaye penda misifa....
Invisible ni kijana wa miaka kama 39 hivi,who is ahead his time (ana IQ kubwa ajabu),
Paw ni baba wa umri wa kati anae penda utani sana,
Roulette ni mama mtu mzima na muislamu safi aliye na ujuzi wa fani zaidi ya moja,
Cookie ni mwoga mwoga hivi,asiye penda discussion na mtu na
Fang ni mkurya aliye jifunzia kiingereza ukubwani.
 
Last edited by a moderator:


No.... watu wote uliowataja umekosea
 
charminglady atakuwa maji ya kunde kiuno nyigu kota la kufa mtu
Bado anasoma na ni mtu wa madisiko sana masai dada huyu ni mjasiria mali hajaolewa lakini anatamani sana maisha hayo
Hapendi mwanaume asiyekuwa na kajina jina na pesa anapenda kuvaa vitenge sana ICHANA huyu ni mtu mzima kati miaka 28 mpaka 30 ni mtulivu kimwonekano ila anapenda sana ngono na umbea wa vibarazani
 
Last edited by a moderator:
you are very right mr
 
Last edited by a moderator:

HA HA HA uuuupsi pole sana umejitahid kukaa nakutabiri ila umekosea kabisa boss wangu
 
Masai dada ni mpole ila hajatulia tulia hivi yan mapepe na anapenda kuongea na kila mtu
 
hahahhahahah

umepatia kiasi naongea kama chiriku
ila sio mapepe sina hata boy mmoko

Sijamaanisha ukicheche mpenz....namaanisha akili yako iko juujuu...natamani nikuone one day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…