masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Acha uongo ...
hahaahh muulize kiongozi wa mabazazi humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo ...
Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss people. - Eleanor Roosevelt
hahaah nilijua tu
hahaahh muulize kiongozi wa mabazazi humu
Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss people. - Eleanor Roosevelt
Utanipa?
Unamfahamu? Lol
MziziMkavu sio mtu mzima sana,lakini ana busara na hekima, Asprin atakuwa Serengeti boy,penda penda, mwallu ni mcha Mungu ila bado ni binti mdogo sana, FaizaFoxy ni bibi wa miaka kama 70 akili yake imezeeka, a.rahabu ni kigori tu miaka 22 hivi lakini anajifanya kakua, miss neddy kamiss miss hivi Evelyn Salt ni dogo kabisa miaka 19 lakini kakua juzi juzi tu,, utafiti kijana mtanashati,msafi,busara sana,,,
Shika adabu yako we dogo.....
farkhina,ni mwarabu wa dubai na ana share Emirates, faizafox,ni mwanamke mrembo na pia ni mbunge wa ccm, MziziMkavu,mganga wa ajadi anayepiga hela mitaa ya juu, Excel,ni waziri wa fedha, nduki,ni ofisa wa TISS,na ndio maana hatulii wakati wote yuko kitaani ili kuwagundua memba wengine wa Panya Road, Jerrymsigwa,ni balozi wa TZ nchini UTURUKI na ndiye aliyemwalika MZEE MAJUTO kwenda kutembelea kule, mbeya yetu,ndiye MR II,
Nalog off
@
1.farkhina,ni mwarabu wa dubai na ana share Emirates,
2 FaizaFoxy,ni mwanamke mrembo na pia ni mbunge wa ccm,
3.MziziMkavu,mganga wa ajadi anayepiga hela mitaa ya juu,
4.Excel,ni waziri wa fedha,
5.nduki,ni ofisa wa TISS,na ndio maana hatulii wakati wote yuko kitaani ili kuwagundua memba wengine wa Panya Road,
6.Jerrymsigwa,ni balozi wa TZ nchini UTURUKI na ndiye aliyemwalika MZEE MAJUTO kwenda kutembelea kule,
7.mbeya yetu,ndiye MR II,
8 Asprin,ndiye babu wa LOLIONDO,
9 figganigga,ndiye MUHIDIN MICHUZI,
10 Kaizer,ni mtu wa Mungu anayeichukia pombe,

Ha ha haaaa mkuu Washawasha mi niko Balozi wa nyumba 10 tu! Huko msumbuji hawajambo jambo?
Hahahahaha nimechekaaa ati nna share emirates lol...hujambo lakini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nitoe na mimi bi dada maana shirika lenu mnapiga hela.
Nalog off