Unahisi mwana JF yukoje kimtazamo wako

Unahisi mwana JF yukoje kimtazamo wako

Kaizer ni m'baba mmoja mrefu kiasi na ana mwili wa wastani,anapenda sana familia yake..na kila siku lazima anywe bia

Asprin ni mrefu kiasi lakini kutokana na unene na kitambi chake kikubwa anaaonekana mfupi..anapenda utani sana wa kibazazi lakini kiuhalisia wala si bazazi

sungura1980
..ni kijana mtanashati ,mpole na hana majivuno

figganigga huyu ni mrefu na aanapenda sifa

lara 1 ni msichana anaependa kufuata kile moyo wake unataka..hata watu alfu mpinge hatojali

miss neddy ni mtoto wa mwisho na anadeka

Mwanyasi ni mkaka mpole anajiheeshimu,anapenda masihara kiasi,,,ila ukimchokoza cha moto utakiona

Ntuzu anaonekana ni baba wa watoto wawili hivi...na anampenda sana na kumjali mkewe

mwekundu huyu ni mtaratibu..anapenda kampani ya wasichana wembamba warembo sana...halafu ni mtu maarufu maeneo ya kwao

Karucee ni mdada mchangamfu kiasi,anampenda Mungu na anapenda kuijpa raha/kujirusha kiasi



..

Hahahahahahaaaaaaa......!!!!!. mia
 
Mzizi Mkavu na Mizambwa...analytical thinkers,well behaved yet love to have fun..good teasers if and when they happen to love.
 
Nakubaliana na wewe hasa hapo kwa Kaizer na miss neddy. Ila Asprin mi nahisi ni mwembamba af mfupi-mfupi hivi....yan ana mwili mdogo...ana watoto wawili
hahahahahaha
afu Khantwe siku hizi asprin naona anajitega tega kwako lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom