Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hapa ni wanaume wa shoka wakipigana mkwara, enzi soka lilikuwa na wababe. Unahisi hapa nani alinywea na nani alishinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi pambe sasa Mi najua wote konki hapo ila huyo kiumbe tall Ni Wa moto zaidi kivyovyoteKama unafikiri gatuso ameenda kuamu ugomvi uko rongi. Hapo anamueleza kama vipi mpige kichwa
blackbelt ya taekwondo imelala hapo kwa ibracadabra...afu tena ni dan ya tatu ...refa angeruhusu ata dk moja ..jap stam tunamsindikiza na wosia na historia ya marehemu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi pambe sasa Mi najua wote konki hapo ila huyo kiumbe tall Ni Wa moto zaidi kivyovyote
ebana noma sana kuna Craig Bellamy huyu mwamba sijui alienda wapi....
Kama unafikiri gatuso ameenda kuamu ugomvi uko rongi. Hapo anamueleza kama vipi mpige kichwa
Siku hizi soka halihitaji uwe na nguvu, linahitaji uwe unajua kupiga pasi, unyoe kiduku na uwe na style nzuri ya kushangilia kama akina LingardWazee wa soka! Acha hili la akina Pogba
Hapo ni wazee waandamizi. Chochote kinaweza kutokea muda wowote.Dah hapo hakuna mnyonge
Usiku mmoja wa Ulaya ndani ya uwanja wa San siro jijini Milan nchini Italy, mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtanange wa marudiano kati ya Ac Milan Vs Man Utd katika Uefa Champions League.Hapana chezea gattuso tetesi zinasema Ronaldo anajiandaa kuandika kitabu kuhusu huyu gattuso[emoji3][emoji3]
Pia usiwasahau akina Nemanja Vidic, Lee Bowyer, Effenberg, Kohler, Chrstian Ziege, Denis Wise na wengineo wengi wa kariba hyoGennarro Gattuso, Patrick vieira, Claude Makelele, Roy keane, Michael Ballack, Michael Essien..Watu wa aina hii kwenye Soka wanapotea kwa kasi sana. Soka limekuwa rahisi mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unafikiri gatuso ameenda kuamu ugomvi uko rongi. Hapo anamueleza kama vipi mpige kichwa
Usiku mmoja wa Ulaya ndani ya uwanja wa San siro jijini Milan nchini Italy, mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtanange wa marudiano kati ya Ac Milan Vs Man Utd katika Uefa Champions League.
Man Utd ikiwategemea hasa Ronaldo Na Rooney ili kuiangamiza Milan, ghafla anaibuka muitaliano mmoja na kuiteka show nzima kibabe. Si mwingine ni Genaro Rino Gattuso. Anamuweka Ronaldo mfukoni muda mwingi wa mchezo katika ile style ya Man Marking (Man to Man).
Mechi inaisha Ac Milan wanasonga mbele lakini gumzo kubwa ni wapi alipokuwa Ronaldo kwa dakika 90 za mchezo ule. Ronaldo alipotea na hakika alipaswa kufunguliwa kesi ya UZURURAJI.
Gattuso anamaliza mechi ile huku akivua bukta yake na kuanza kushangilia kwa mbwembwe zote.