Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,902
Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano
-Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu
-Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu
Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga hawaamini wanachokifanya kwa Kizazi kimpya....