Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano

-Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu

-Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu

Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga hawaamini wanachokifanya kwa Kizazi kimpya....
 
Ashakum si matusi, vijana wanatukana sana
 
Kunguru muoga uepusha mbawa zake...

Ili silioni kwa dunia ya sasa...!
 
Akunyang'anyae kanzu, usimzuilie na Kobazi.!

Ila bakora imebaki mchape nayo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…