Unahisi ni nyuzi gani hapa JF zinamchekesha sana Rais Samia?

One love
 
😳
 
Habari wakuu...

Mama leo kasema huwa anafuatilia sana jf na anasoma maoni yetu hapa jamvini....huwa anacheka sana...

Je?

Unadhani au unaweza guess ni nyuzi gani aua comment gani zinamfanyaga acheke zaidi.....??

Niko paleeeee
@Erythrocyte nyuzi zake namna anawasilisha
Lazima Rais atakuwa anacheka sana

Pia atakuwa anachukua hoja zake na kuzifanyia kazi.
 
Ukute nishawahi kubishana na Rais humu bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mama popote ulipo upite selfika utupie selfie.
 
Mama anikumbuke na japo ukuu wa mkoa, wa Dar es salaam sita kuwa kama Paul makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…