Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,629
- 3,728
Tamaa ya Mali kuna msemo unasema "Natural resource is a curse"
Sema walokole mnaandamwa sana sijui kwanini?Huo uthibitisho hayupo ndio sijauona so far mnabwabwaja tu!
Sasa tunatofauti gani? Kila mtu anatoa kwenye madhabahu yake🤗
Tuna kitu ndani yetu! Tumebeba baraka, watu hawataki kuona tulivyo serious na Mungu! Na wanahisi makanisa yote yanayofunguliwa hovyo hovyo ni ya walokole ndio shida inapoanzia!Sema walokole mnaandamwa sana sijui kwanini?
secretarybirdKama mmekosa pweint za kupost mvutege bangi sio mnatuharibia mb zetu pasipo sababu
Naona mista pipa kawaka sana. Mwambie apige nyeto kidogo akili yake itulie japo kidogo 😂.