90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 421
- 502
Wakuu habari za wakati huu. I hope mmeamka salama wote.
Guys, kama unatafta kitu (chochote tu) kwa bei nzuri (used) ambacho kiko katika ubora mkubwa bado, cas naelewa mtu anahitaj kitu, maybe leather sofa,or fridge , or tv, Ac, printer au chochote kile, but bei ya mpya dukani iko juu sana haiwezi kwa muda huo, bado option nyingine ipo.
Niambie (hapa au dm) unahitaji nini, na budget yako ni kiasi gani, na unakihitaji haraka sana au within how many days, then niachie mimi hiyo kazi, just tulia relax , nakuletea, maongezi mengine tutazungumza dm
hata kipya naweza kukupatia if uko ok