UNAHITAJI MUME/MKE au MCHUMBA? sms Wasifu wako

UNAHITAJI MUME/MKE au MCHUMBA? sms Wasifu wako

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kupitia DM ukijielezea ** Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies, kama una mtoto/watoto (idadi) na unatamani kuunganishwa kwa mtu wa namna gani (sifa za umtakae). Huduma hii ni bure kabisa**. Na tutafurahi kukuhudumia.

ONYO: Baada ya kukuunganisha chukua tahadhari kama vile usikubali kwa mara ya kwanza kukutana na mtu peke yako au sehemu iliyojificha, ni vizuri kujiandaa kwa kuwa na hela ya akiba kwa ajili ya kinywaji/chakula na nauli just in case.

Asante.
 
Nimeona wakaka na wadada wengi wanahangaika kutafuta wenza wao kwa uwoga na kwa kujificha sana, na kutumia ahadi nyingi mno (overpromises) natamani kuwaona watu wakifanikiwa katika mahusiano maana kama mahusiano yako hayaeleweki hata ungekuwa RAIS/WAZIRI/MBUNGE/JAJI/PROFESA huwezi kuwa vizuri katika utendaji wako wa kazi wa kila siku. Nasisitiza HUDUMA HII NI BURE sihitaji hata senti toka kwako/kwenu.
 
... ukijielezea Jina, Umri, Umbo lako, Dini, ...
we ulisha waona wanao tafuta humu wakiji eleza majina yao ya kweli!!unadhani ni kwanini hawaweki kila kitu chao wazi!!nani atakubali ukamuweke kwenye blog yako kila mtu amfahamu!!!
 
Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kwenda namba 0718756418 ukijielezea Jina, Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies, kama una mtoto/watoto (idadi) na unatamani kuunganishwa kwa mtu wa namna gani (sifa za umtakae). Huduma hii ni bure kabisa. Na tutafurahi kukuhudumia.

ONYO: Baada ya kukuunganisha chukua tahadhari kama vile usikubali kwa mara ya kwanza kukutana na mtu peke yako au sehemu iliyojificha, ni vizuri kujiandaa kwa kuwa na hela ya akiba kwa ajili ya kinywaji/chakula na nauli just in case.

Asante.

Let's start the game.
Nitafutie msichana mwenye sifa hizi

Umri: 23-26
Dini: Muslim, mchamungu na mwenye stara
Elimu: Kuanzia diploma kwenda juu
Rangi: Naamini Mungu hakumkosea mtu, rangi yoyote ile natural.
ila itapendeza asiwe mfupi because I'm a giant one.

Pia napenda sana wasichana wapole.

Sifa zangu sasa
Umri: 28yrs
Dini: Muslim
Elimu: Kuanzia degree kwenda juu
Rangi: White

Kuhusu namba ya simu nitatoa baada ya kujuana vizuri, ila kwa sasa tuwasiliane kupitia
email: salimathuman78@yahoo.com
 
Wee DSpecial umeambiwa uandike meseji kwa namba iliyotolewa hapo..! Hahahaaa.... Usijali mdogo wangu, utampata tuu mdada anayekufaa..! Kila la heri..!
 
Last edited by a moderator:
Wee DSpecial umeambiwa uandike meseji kwa namba iliyotolewa hapo..! Hahahaaa.... Usijali mdogo wangu, utampata tuu mdada anayekufaa..! Kila la heri..!

Mmmm....hii kali..kachemsha
 
Last edited by a moderator:
Duuh Watanzania ni wazito haswaa kufanya huduma hii bure ndo watu wanasumbua mpaka usiku wa manane Ati mtu anataka mchumba tena anakukaripia utafikiri kakuajiri. Kweli Bure ni balaa labda ningeweka mtu atoe hela kwanza watu wangejiheshimu kidogo.
 
Vipi kazi imekuwa ngumu?
 
mkuu wazo la biashara ni zuri sana,
tuonane tuongee jinsi ya kukupa udhamini au mkopo wa bila riba,
teh teh teh

Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kwenda namba 0718756418 ukijielezea Jina, Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies, kama una mtoto/watoto (idadi) na unatamani kuunganishwa kwa mtu wa namna gani (sifa za umtakae). Huduma hii ni bure kabisa. Na tutafurahi kukuhudumia.

ONYO: Baada ya kukuunganisha chukua tahadhari kama vile usikubali kwa mara ya kwanza kukutana na mtu peke yako au sehemu iliyojificha, ni vizuri kujiandaa kwa kuwa na hela ya akiba kwa ajili ya kinywaji/chakula na nauli just in case.

Asante.
 
Nafurahi kuwaarifu toka nianze kazi hii nimefanikiwa kuunganisha pair 5 mpaka sasa. hivyo wenye uhitaji endeleeni kutuma profile zenu. na nitafurahi kuwaunganisha na wale mnaowahitaji. Asanteni
 
We unawatoa wapi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom