DSpecial
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 482
- 160
Nafurahi kuwaarifu toka nianze kazi hii nimefanikiwa kuunganisha pair 5 mpaka sasa. hivyo wenye uhitaji endeleeni kutuma profile zenu. na nitafurahi kuwaunganisha na wale mnaowahitaji. Asanteni
Naomba uchukue profile yangu halafu niunganishe na mdada mmoja kama nilivyoeleza hapo mwanzo, ila naomba umwambie tuwasiliane kupitia e-mail kwanza salimathuman78@yahoo.com