UNAHITAJI MUME/MKE au MCHUMBA? sms Wasifu wako

UNAHITAJI MUME/MKE au MCHUMBA? sms Wasifu wako

Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kupitia DM ukijielezea ** Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies, kama una mtoto/watoto (idadi) na unatamani kuunganishwa kwa mtu wa namna gani (sifa za umtakae). Huduma hii ni bure kabisa**. Na tutafurahi kukuhudumia.

ONYO: Baada ya kukuunganisha chukua tahadhari kama vile usikubali kwa mara ya kwanza kukutana na mtu peke yako au sehemu iliyojificha, ni vizuri kujiandaa kwa kuwa na hela ya akiba kwa ajili ya kinywaji/chakula na nauli just in case.


Asante.
Duuuuuhhhh hii mpya.......HAHAHHAHAHAHAHHA
 
Kama vipi kwa urahisi liundwe group what's app waingizwe humo wadada na wakaka tunaotaka wenzi

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom