connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
we ulisha waona wanao tafuta humu wakiji eleza majina yao ya kweli!!unadhani ni kwanini hawaweki kila kitu chao wazi!!nani atakubali ukamuweke kwenye blog yako kila mtu amfahamu!!!... ukijielezea Jina, Umri, Umbo lako, Dini, ...
Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kwenda namba 0718756418 ukijielezea Jina, Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies, kama una mtoto/watoto (idadi) na unatamani kuunganishwa kwa mtu wa namna gani (sifa za umtakae). Huduma hii ni bure kabisa. Na tutafurahi kukuhudumia.
ONYO: Baada ya kukuunganisha chukua tahadhari kama vile usikubali kwa mara ya kwanza kukutana na mtu peke yako au sehemu iliyojificha, ni vizuri kujiandaa kwa kuwa na hela ya akiba kwa ajili ya kinywaji/chakula na nauli just in case.
Asante.
Let's start the game.
Nitafutie msichana mwenye sifa hizi
Umri: 23-26
Dini: Muslim, mchamungu na mwenye stara
Elimu: Kuanzia diploma kwenda juu
Rangi: Naamini Mungu hakumkosea mtu, rangi yoyote ile natural.
ila itapendeza asiwe mfupi because I'm a giant one.
Pia napenda sana wasichana wapole.
Sifa zangu sasa
Umri: 28yrs
Dini: Muslim
Elimu: Kuanzia degree kwenda juu
Rangi: White
Kuhusu namba ya simu nitatoa baada ya kujuana vizuri, ila kwa sasa tuwasiliane kupitia
email: salimathuman78@yahoo.com
Wee DSpecial umeambiwa uandike meseji kwa namba iliyotolewa hapo..! Hahahaaa.... Usijali mdogo wangu, utampata tuu mdada anayekufaa..! Kila la heri..!
Kuna madalali nnwewe unawapata wapi?
Duuh Watanzania ni wazito haswaa kufanya huduma hii bure ndo watu wanasumbua mpaka usiku wa manane Ati mtu anataka mchumba tena anakukaripia utafikiri kakuajiri. Kweli Bure ni balaa labda ningeweka mtu atoe hela kwanza watu wangejiheshimu kidogo.