Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Ac compressor ya mark two grande ya 2001 size 17 unauzaje?engine 1G-Fe vvti
 
Kiongozi naomba kujua bei ya mass air flow sensor mpya ya Mercedes Benz c200 kompressor 2004 model
 
Side mirror 120,000/=
Kioo kidogo cha pembeni ni 45000/=

Kioo kidogo cha pembeni cha Noah X limited, 2007 pearl white sh. ngapi, nahitaji niambie nije nichukue wapi Ijumaa hii

IMG_20190910_213416.jpg
 
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Fundi wangu amenieleza kuwa kwenye AC ya gari yangu [Harrier Old Model] compressor imekufa.
Jee unayo??? na unauza bei gani???
 
Nahitaji Cv joint na hub ya Mbele Ford Explorer model 1998
 
Gear Box ya prado 2 mkuu naweza pata kwa bei gani?
 
Mkuu naomba bei ya Engine 1KZ-TE na geabox yake Auto na Manual. Nipe bei ya kila moja
 
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Taa za toyota WiLL mkuu shemeji yako anahitaji huko Tz
 
Nahitaji bampa la feni lenye kidumu cha coolant la COROLA RUNX 2002. Niambie na bei tafadhali
 
Nahitaji Bampa la mbele Toyota avensis la England lenye fog light. Bei Tsh.ngapi?
 
Naomba Bei ya ABS sensor ya Noah Sr40, ya nyuma moja na mbele moja
 
Back
Top Bottom