Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mkuu pamoja na ushauri huo wa fundi wangu mimi naungangana na hao mafundi wawili ... Gearbox ikianza kukataa reverse jua tayari huna gearbox... Unaweza kutumia gharama kutengeneza na bado ikasumbua tu
Wadau gari yangu Toyota ist inagoma kupiga reverse naombe ushauri maana nimewaona mafundi wawili wanasema nibadili giabox.nikajiuliza kama giabox mbovu mbona gia nyingine zinafanya kazi????
 
Back
Top Bottom